Nguvu ya Tigo ishindwe Kwa jina la Yesu katika Ndoa zenu

SOMA HII


Ni Jana tu napenda kuangalia shuhuda , nimeona binti aliyeokoka yeye hutumwa kutengeneza na kusambaza virusi vya Ukimwi, yeye kabla ya kusex na mwanaume huweka virusi katika sehemu za uke , na kinyume na maumbile , na mwanaume anayezini naye au kijana tayari vile virusi vinaingia katika sehemu za siri , kwisha habari yako. Huo ni UKIMWI wa kutengenezwa.

Wapo watu wameokoka wanazishughulikia tigo kwelikweli airtel hawazitaki. Ushindwe na ukome kwa damu ya Yesu.

Nyie wanawake hata kama ni mume wako kataa hiyo hali ni dhambi tena jehanamu inakungoja, khaaa! Mwanaume wengine anatumwa kuiba nyota kwa njia ya namna hiyo!


Darasa la Leo litamu mnoo! Nashusha upanga mnaache. Imezee hii kombora. Nitakuja kufundisha hasara zake naandaa somo .


Wanawake ombea waume zenu, , makahaba wanawawinda mno. Usipoomba kahaba atatumia uchawi na akimteka mume wako hatapewa airtel Bali atapewa ..........  .., Wewe utaonekana mshamba kumbe hukusimama kuiombea ndoa.


Na nyie wanaume mliozoea kutumia tigo mkome na mshindwa, huo uchafu ni mbaya na mwisho wake ni jehanamu. Lazima niwe muwazi  nashusha injili ya moja kwa moja sio ya kona kona. Mshindwe na mtoke huko kwa damu ya Yesu.



Haloooooooooooo!! Shalooom! Kristo asifiwe.

Asanteni,

Post a Comment

0 Comments