Ikiwa Mume /mke atashindwa kuishi na mke wake tu na kuangalia michepuko atapata athari zifuatazo:
*A:KIROHO*
Asipotubu kijana huyu na kumgeukia Mungu awe na uhakika kuwa dhambi hii ya uzinzi itampeleka Jehanamu ya moto, Soma 1Wakorinto 6:9-11.

*B:KIMWILI*
Unaudhalilisha mwili wako ambao ni hekalu la Mungu tena takatifu,1Wakorinto 3:16....Imeandikwa tunza mwili wako wala usiuchafue kwa kuwa ni nyumba Mungu.

*C:KIFIKRA*
MTU wa namna hii Mara nyingi upendo kwa mke/Mme wake unapungua sana sababu fikra zake zinawaza, nimpende nani, nimjali nani, nimpe nani zawadi hii yaani unatumikia mabwana wawili, kwa hiyo daima ndoa yako itayumba tu.

*D:KIUCHUMI*
Uchumi wako hauwezi kusitirika maana utahonga na utatekwa na wadudu waharibifu wa kiroho kama limbwata na madawa ya kishirikina hivyo kutumikia vimada au kuhonga wanaume wakati huo mke na familia wanateseka kwa kukosa upendo hata kama unatoa mahitaji yote muhimu lakini upendo ukishapungua au kukosekana hapo huna familia, unatumia pesa nyingi kuhonga nje wakati familia inatesekaa. Kama unafanya Uzinzi ni rahisi kutekwa na ushirikina maana huwezi kumwomba Mungu akulinde unapokwenda kutenda dhambi. Umemfungulia adui mlango akunyanyase.

*E:KIJAMII*
MTU ambaye anachukua kila mwanamke/mwanaume hawezi kuipenda ndoa yake wala familia maana amegawanyika na anamtumikia shetani. Hivyo kuipenda ndoa yake sio rahisi, jamii humwona kama MTU asiye na akili na kujivunjia heshima kwa wengi.
*F: KISAIKOLOJIA*

Mtu asiyeishi maagano ya Ndoa yake anaathirika kisaikolojia. Yaani anakosa uhuru wa kujieleza, kujiamini, kujithamini, kujilinda na hata kujitegemea inakua ni tatizo kubwa kwake. Anakua na mkato wa tamaa, mgomvi na mwenye wivu mmbaya. Unakosa imani na mwenzi wako maana utahisi unayofanya wewe hata yeye anafanya. Hivyo kuwekeana mitego na kushutumiana kila wakati. Hali hii imesambaratisha Ndoa na familia nyingi.
*SULUHISHO*
Wanandoa wajengeane uaminifu, wasameheane, wahurumiane, wasali pamoja ili kujijengea hofu ya Mungu na kusimika ufalme wa Mungu katika familia yao. Kwa namna hii usalama wa ndoa utakua mikononi mwa Mungu. Familia itakua kanisa dogo na watoto watapata malezi bora ya kiroho, kiimani, kiakili na kimaadili.
Na hii ndio familia yenye furaha. KWANI FAMILIA INAYOSALI PAMOJA NDIYO INAYODUMU PAMOJA.

*ATUKUZWE MUNGU DAIMA*
0 Comments