SOMO:NDOA NI NINI?

TANZANIA ONLINE CHURCH [T. O. C]

SOMO: MAHUSIANO NA NDOA.

NDOA NI NINI BASI?

LEO NATAKA NISEME NA WAKRISTO WALIO FIKIWA NA NEEMA YA WOKOVU,, ME/NA KE, KABLA YA KUBARIKI NDOA;
*"NISEME KIDOGO"*
*NDAO NI WAWILI WANAPOKWENDA KUKUTANA KIMWILI ME/ KE. HIYO NDIO NDOA KAMILI*. Ngoja niseme kidogo juu ya hili maana wengi hawafahamu ndoa ni kitu gani. Kitendo cha mtu Me, na mtu Ke, wanapokutana kufanya tendo la kujamiaana huitwa (tende la Ndoa). Watu wengi sana wanapotosha juu hili.. *Point yangu iko hapa;* Kuna msemo wa watu huwa nawasikiaga wakisema; *"Watu hawa wanaishi hali yakuwa hawajafunga ndoa wanazini wakiwa wameokoka; mlokole mzima anazini na mkewe wakiwa wameokoka"* nataka nikazie juu ya hili; Watu wakiwa hawajabariki ndoa na wanaishi,, hawa siyo wazinifu, yaani hawa ni wanandoa wanaoishi kwenye ndoa ambayo haina baraka za Mungu. Kwa kuwa wameokoka yaani Neema ya wokovu imewashukia wakiwa na mweza wake na wamepata watoto tayari hawa wanaitwa wanadoa wanaoishi kwa pamoja kwa  sababu wako wawili kwenye ndoa ambayo haina baraka za Mungu; Kinachotakiwa au kifuatacho ni kwenda kuibariki ndoa yao kanisani chini ya aliyepewa mamlaka na serikali ya jamuhuri ya Mungano  wa Tanzania,,  mchungaji wake au askofu wake. ZIPO NDOA NYINGI TU ZINAZOFUNGWA BILA BARAKA ZA MUNGU. Lakini selikari inatambua ndoa hiyo na Mungu anaitambua ndoa hiyo huwezi kuwaita wazinifu. Tena ikiwa wamemwamini Yesu usiwahukumu kwamba kwamba mbinguni hawaendi kwa hilo utakosea. *MFANO; NDOA ZA KIMIRA, NDOA ZA SERIKALI (BOMA) NDOA ZA  DINI INAYOMKANA YESU;* HIZO NI NDOA ZISIZO KUWA NA BARAKA. Kwahiyo siyo vizuri kuwaita wazinifu. Maana hawa watu ni wanandoa tayari wamimi wamwaminio Yesu Kristo wenda ikawa. *IPO TOFAUTI KATI YA MZINZI, NA MWASHERATI,* (uzinzi) Mzinifu ni mtu ke, au me, wameoana tayari Lakini anaacha nyumba yake na kwenda kulala kimwili, kushiriki (tendo la ndoa) na mtu mwingine. huyo huitwa mzinifu. =Mwasherati ni kijana ambaye hajapata ndoa yake yaani hajaoana na ke, au me.. Lakini anafanya tendo la ndoa kiholela holela, kesho huyu na kesho yule,, huyo ni mwashelati. *LAO HUU UJUMBE UWE WAKO NA UPONE KWA JINA LA YESU  BAADA YA KUIBARIKI KANISANI KINACHOFUATA NI TENDO LA NDOA: USHAURI usifanye tendo la ndoa kabla ya  ya kwenda kubariki kwa Mungu.*

UBARIKIWE NA BWANA.
tanzaniaonlinechurch.blogspot.com

Post a Comment

0 Comments